×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wanasa silaha na vifaa haramu Eastleigh kwa msaada wa wakaazi

30th May, 2014

Polisi wamevamia nyumba moja katika mtaa wa Eastleigh na kupata bunduki aina ya AK47 na vifaa vya kutengeneza mabomu, pamoja nambari ishirini za usajili wa magari hii ni baada ya majirani kushuku mienendo iliyokuwa katika nyumba hiyo na kisha kupiga ripoti kwa maafisa wa polisi.
.
RELATED VIDEOS