×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wamiliki wa magari ya uchukuzi wa umma wayapeleka magari yao kukaguliwa dakika za mwisho

31st March, 2014

Usafiri wa umma hueanda ukaathirika pakubwa ifikapo kesho asubuhi kutokana na kuwa idadi kubwa ya magari ya uchukuzi wa umma hayajawekwa vidhiti mwendo vipya kama ilivyotakiwa na serikali kufikia . Misongamano mikubwa ya magari ya uchukuzi wa umma ilidhihirika katika vituo vya ukaguzi vya serikali , huku wamiliki wa matatu wakipata pigo baada ya ombi lao la kutaka kuongezewa muda wa ukaguzi wa magari yao kutupiliwa mbali na mahakama.
.
RELATED VIDEOS