×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Swala la ufisadi lazidi kuuzonga mradi wa reli nchini Kenya

26th January, 2014

Sakata ya ujenzi wa reli ya kisasa inayotarajiwa kurahisisha uchukuzi na mawasiliano kutoka mji wa Mombasa inaendelea kuibiua hisia kali. Aliyekuwa , aliyekuwa wakati mmoja katibu mkuu John Githongo na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya ufisadi, kacc, PLO Lumumba wamemwandikia rais Kenyatta wakimtaka asimamishe zabuni hiyo inayozungukwa na madai ya ufisadi. Wanasiasa nao wameendelea kutoa kauli zao, kuhusiana na swala hili.
.
RELATED VIDEOS