x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mapenzi yashamiri kwa wapenzi walio na ulemavu wa upofu

25, Jan 2014

Je , wawewaza kumshauri watu wawili wanaishi na ulemavu wa kutoona kufunga pingu za maisha? Ni swala linaloweza kuzua mdahalo. Lakini kuna baadhi ambao ulemavu sio kikwazo kwao kwa penzi ushamiri na hata kuishi katika ndoa kwa kipindi cha miaka hamsini sasa bila utata wowote . Mwanahabari wetu lofty matambo alikutana na Shija Mabura na Getruda Ngereja katika mtaa wa Korogocho hapa mjijini kwao licha ulemavu huu wakutoweza kuona penzi kwao kila uchao linazidi kushamiri.

POPULAR NEWS VIDEOS


04

RELATED VIDEOS


Feedback