×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kijana abuni mtambo wa kuzalisha nguvu za umeme

17th January, 2014

Kwa maeneo mengi ya mashinani , kupata umeme huwa ni ndoto ya wengi . Lakini kwa wenyeji wa kijiji cha Kahinduini katika kaunti ya Murang’a . Ndoto hiyo imetimia baada ya mvulana wa umri wa miaka 22 kubuni mitambo ya kuzalisha nguvu za umeme . Kijana huyo aliyekamilisha masomo ya shule ya upili mwaka jana pia anazo ndoto nyengine ikiwemo kuunda gari la kutumia nguvu za umeme .
.
RELATED VIDEOS