x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watakaokiuka sheria ya kusajili kadi zao za simu ya rununu kutozwa faini

16, Jan 2014

Je, wafahamu kwamba huenda ukatozwa faini ya laki moja ama miezi sita gerezani iwapo utapatikana na hatia ya kutoisajili kadi yako ya simu ya rununu au kwa kutoa habari za uongo? Ni sheria mpya zilizotangazwa siku moja pekee iliyopita ili kudhibiti utapeli na uhalifu unaotekelezwa kupitia simu za viunga mbali.Na kama alivyotafiti mwanahabari wetu Lofty Matambo, bado kuna wale wanaoendelea kuvunja sheria hizo licha ya kutolewa kwa sheria za mawasailiano.

RELATED VIDEOS


Feedback