Washukiwa 3 wakamatwa kwa kuteka nyara mtoto
8th January, 2014
Polisi mjini kandara kaunti ya Murang’a wanawazuilia kina mama watatu washukiwa wa utekaji nyara wa mtoto mdogo mwenye umri wa miezi kumi na minane. Washukiwa hao walitiwa nguvuni mapema leo pale walipopatikana na mtoto huyo yapata siku mbili tangu kupotea.