x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jamii ya wafugaji katika eneo la Samburu wamegeukia ufugaji wa kuku kukimu mahitaji yao

07, Jan 2014

Jamii ya wafugaji katika eneo la Samburu mashariki wamegeukia ufugaji wa kuku kukimu mahitaji yao.Tofauti na wanyama wanaofugwa kawaida, kanisa la kianglikana limewashawishi kujaribu kuku kama njia ya kukimu mahitaji yao ya chakula na kujiinua kiuchumi.Baadhi ya wenyeji waliofaidika wanasema kuku ni mnyama ambaye alikuwa kama laana katika jamii yao lakini sasa wanaona faida yake.Maeneo kame haya yamekuwa yakishuhudia hasara ya mifugo na binadamu kutokana na hali ya anga na kwa miaka mingi wenyeji wameshawishiwa kutafuta njia mbadala za kujikimu maishani.

RELATED VIDEOS


Feedback