×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa leba Kazungu Kambi aunga mkono kupitishwa kwa mswada wa NSSF

7th December, 2013

Waziri wa leba Kazungu Kambi ameunga mkono hatua ya bunge ya kupitisha mswada wa kuongeza kiwango cha fedha wanachopaswa kukatwa wakenya kwa hazina ya malipo ya uzeeni NSSF. Akizungumza hapa jijini Nairobi kambi ameipongeza hatua hiyo na kusema kwamba itamuwezesha kila mkenya kuwa na fedha za kutosha kujikimu kimaisha pindi anapostaafu. Ameapa kukabiliana na ufisadi katika wizara hiyo kwa kila hali ili kuhakikisha kwamba wakenya wanapata huduma cha kiwango cha juu katika shughuli zao za kila siku.
.
RELATED VIDEOS