x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kutana na wazee wanaoishi katika vituo vya kuwatunza wazee

30, Nov 2013

Ungependa kuishi katika nyumba ya wazee wakati unapokuwa mkongwe au ungependelea kuwapeleka wazazi wako katika nyumba ya wazee ili kuepuka majukumu ya kuwalea wakongwe? Ni swali ambalo kwa waafrika huenda likazua mjadala mkali. Humu nchini kwa sababu moja au nyengine kunao baadhi waliolazimika kuishi katika vituo vya kuwatunza wazee. Kulingana wakongwe katika kituo cha little sisters eneo la Kasarani wamefurahia kuishi pamoja kwenye makao badala ya nje ambako wanasema jamii imewatelekeza.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback