x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mke adaiwa kumuua mumewe kwa kumdunga kisu mjini Nyeri

24, Nov 2013

Katika kitongoji duni cha Soweto mjini Nyeri mwanamke mmoja kwa jina Lydiah Ngari aliye na miaka 56, amekamatwa hii leo baada ya kudaiwa kumuua mumewe. Inadaiwa mumewe Julius Kanake aliye na umri wa miaka 64 aliwasili akiwa mlevi na hapo kumdunga kisu wakati alipokuwa kitandani na baadaye kutumia nyundo iliyomtoa uhai.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback