×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

"Siko tayari kuzikwa" maiti yaleta kioja

12th October, 2013

Wakaazi wa mtaa wa kwanza wa Mathare Kaskazini walishuhudia kioja pale maiti ilidinda kusafirishwa jana usiku hadi eneo la Kendu Bay kwenye kaunti ya Homabay. Maiti ya mwenda zake Peter Otieno ilisafirishwa baadaye leo alasiri mishale ya saa tisa kasorobo baada ya jamaa zake wa karibu kufanya mila na desturi ya jamii ya waluo ambapo maiti ilibembelezwa na kubadilisha mwili wa marehemu kwenye jeneza ili kichwa kilalie upande wa nyuma wa jeneza.
.
RELATED VIDEOS