x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ulimwengu mzima hakuna Rais ambaye amefikishwa kizimbani kushtakiwa

09, Oct 2013

Ulimwengu mzima hakuna rais ambaye amefikishwa kizimbani kushtakiwa. Akionekana kugusia kesi dhidi ya rais uhuru kenyatta iliopangiwa kuanza katika mahakama ya kimataifa ya icc, huko the hague, mwezi ujao, waziri wa mashauri ya nje amina mohammed alisema kuna tofauti kati ya rais uhuru na uhuru ambaye alikuwepo the hague kusikiliza kuidhinishwa kwa kesi ya jinai dhidi yake. Waziri amina hata hivyo alikanusha madai kwamba kenya inasukuma ajenda ya mataifa ya afrika kujiondoa kutoka kwenye mkataba wa roma, katika kongamano la jumuiya ya afrika litakaloanza ijumaa, mjini addis ababa ethiopia.

Feedback