×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mapigano Mapya Moyale Yasababisha Watu Watatu Kufariki

25th August, 2013

Takriban watu 10 wameuwawa katika wiki moja iliyopita kufuatia mapigano ya kijamii mjini Moyale. Maafisa wa polisi hii leo wamepata miili ya watu wawili kati ya watatu waliouwawa hapo jana eneo la funan nyata. Haya yanajiri huku wengine watatu wakiuwawa hii leo, katika kile kinachoaminika kuwa ulipizaji kisasi. Wakaazi wametoroka majumbani mwao wakihofia mapigano hayo huku maafisa wa polisi wakijaribu kuzima fujo hizo. Mwanahabari wetu Mohamed Mahmoud ametuandalia taarifa hii.
.
RELATED VIDEOS