×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Video ya wiki: Jamaa aliye na uraibu wa bangi Nyeri

5th July, 2013

Ganja, ndom, bangi…mmmh ni majina tofauti yanayozungumzia kitu kimoja…lakini katika muktadha huu tutumie jina linalofahamika na kila mmoja….bangi….jamaa mmoja kaunti ya nyeri alijipata taabani juma hili, kosa lake, kupatikana na bangi shambani mwake.alikereka sana jamaa huyu kwani hakuelewa ni kwanini maafisa walimtia nguvuni, akieleza kuwa anapanda na kuvuta bangi kujistarehesha na kwamba pia kunatokamana na imani yake….tizama video hiyo.
.
RELATED VIDEOS