x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Bomu yateguliwa Nyeri

29, May 2013

Jamaa wawili katika eneo la kabaru eneo bunge la Kieni, walisalia na lahaula pale walipodhani wamekutana na bahati ya kuokota chuma kikuuu. Fikrani walijua sasa wamejipata hela, wakishakiuza kama scrap metal. Ole wao lakini pale fikra hizo zilipowatumbukia nyongo, kwani ilibainika chuma hicho kilikuwa bomu, ambalo lilipolip[uliwa mlio wake ulitoa mshindo mkubwa.

Feedback