×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mswada Wa Sheria Kuhusu Ushuru

30th July, 2012

Mswada wa Sheria Kuhusu Ushuru wa asilimia kumi na sita juu ya ubora wa bidhaa fulani, yaani VAT unaotarajiwa kupelekwa Bungeni hapo kesho unapingwa vikali na baadhi ya Wabunge. Na kutokana na hili ,Waziri wa fedha Njeru Githae huenda akakumbana na wakati mgumu baada ya Wabunge watatu kuapa kuzuia kujadiliwa kwa mswada huo ambao wanasema iwapo utapitishwa na kuwa sheria, mwananchi wa kawaida atakandamizwa na mfumko wa bei ya vyakula na bidhaa muhimu. Frank Otieno anayo taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS