×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

CRA Allocation

21st June, 2012

Wakenya wametakiwa kumteua Rais na Magavana ambao wataweza kutoa mwelekeo kwa Taifa hili baada ya Rais Mwai Kibaki kustaafu. Mwenyekiti wa Tume ya Ugavi wa Mapato Micah Cheserem amesema siku za usoni za Taifa hili ziategemea viongozi watakaoteuliwa.Cheserem amesema hayo hii leo baada ya kukutana na Naibu Mwenyekiti wa Shirika La Standard Paul Melly katika makao makuu ya Kampuni La Standard.
.
RELATED VIDEOS