×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

GSU yawazuia wafanyikazi KAA kurejea kazini

12th April, 2012

Hali ya taharuki ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, pale maafisa wa GSU waliojihami walipowazuia wafanyakazi wa viwanja vya ndege kurejea kazini, hatua hii imejiri licha ya mahakama kubatilisha uamuzi wa hapo awali wa kuwafuta kazi wafanyi hao.  Mapema hapo jana muungano wa wafanyakazi – Cotu ulisema kuwa hatua iliyochukuliwa na mamlaka hayo ya viwanja vya ndege kwa wafanyikazi wake haikuwa halali.

.
RELATED VIDEOS