Mchezaji mstaafu Fred Ambani
27th March, 2012
Watch KTN Live on http://www.ktnkenya.tv Ni mchezaji aliyewahi
kuichezea timu ya taifa akiwa na umri mdogo wa miaka kumi na sita
alipojumuishwa katika timu ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka kumi na
nane. Huyo si mwingine bali ni Fred Ambani ambaye kwa sasa ni kocha wa
vijana chipukizi katika kaunti ya kisii.