×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Menengai Oil spillage

28th February, 2012

Wenyeji wa kitongoji duni cha kaptembwa huko nakuru walihataraisha maisha yao mapema hii leo kwa kuchota mafuta ya kupikia yaliyomwagika kutoka kiwanda kimoja cha mjini humo bila ya kujali athari za kiafya dhidi yao. Kwa sas mwito umetolewa kwa maafisa wa afya kudhibiti hali hiyo ili kuzuia mkurupuko wa maradhi kwani mafauta hayo yamedaiwa kuchanganyika na maji taka na kuwa tishio la afya.
.
RELATED VIDEOS