Aliyekuwa rais wa marekani Barack Obama anatarajiwa humu nchini Jumapili hii

KTN Leo | Thursday 12 Jul 2018 7:26 pm

Aliyekuwa rais wa marekani Barack Obama anatarajiwa humu nchini Jumapili hii. Kijiji cha K’ogelo kinajiandaa kumpokea mwana wao ambaye atazindua kituo cha ufundi cha sauti kuu cha dadake daktari Sarah Obama.