Mbinu za wakazi Korogocho kukidhi maisha yao | #BudgetKE2018

KTN Leo | Thursday 14 Jun 2018 7:47 pm

Wakaazi wa Korogocho sawia na mitaa mingine ya haiba ya chini hapa kenya wamekatwa maini na kuongezwa bei kwa bidhaa muhimu za kimsingi. Lakini  kama anavyoarifu Lofty Matambo wakaazi wanazo mbinu za kukidhi maisha yao kama vile kutumia mikate iliyokataliwa kwengineko.