HABARI ZA HIVI PUNDE:Rais Uhuru ahudhuria maombi ya wahanga wa Solai

Leo Mashinani | Wednesday 16 May 2018 1:11 pm

Rais Uhuru Kenyatta ahudhuria maombi ya wahanga wa Solai ambapo watu Zaidi ya 40 waliangamia baada ya kusombwa na maji. Hii ni baada ya bwawa Patel kuvunja kingo zake