Polisi wanasa sacheti 3,500 za pombe haramu Migori

Leo Mashinani | Tuesday 17 Apr 2018 12:49 pm

Polisi kwa ushirikiano na bodi ya NACADA huko isibania wamenasa sacheti 8,500 za pombe haramu kutoka taifa jirani la Uganda wanasema pombe hiyo kwa jina Simba Waragi inayotengenezwa na kampuni ya Premier Distillers huko Uganda ilifika nchini kenya kwa njia za mkato. Maafisa hao sasa wanasema vita dhidi ya pombe haramu vitaendelea hadi biashara hizo humu nchini zifungwe. Pombe hiyo ilipigwa marufuku nchini uganda mwaka 2016 kabla ya tanzania kuchukua hatua sawa mwaka jana.