Mzozo wazuka Samburu baina ya wakazi na mwanakandarasi wa umeme

Leo Mashinani | Tuesday 17 Apr 2018 12:46 pm

Mzozo umezuka baina ya kampuni ya wakazi wa kijiji cha Porro huko Samburu na mwanakandarasi wa umeme, wenyeji wakidinda kuruhusu laini ya umeme kupita eneo hilo bila kupokea fidia kutoka kwa  mwanakandarasi huyo. Wanalalamika kwamba mradi huo unafanywa kwa lazima bila mawasiliano yoyote nao.