Zaidi ya wachezaji chipukizi hamsini wajumuishwa katika kambi ya mazoezi ya mpira wa vikapu

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 8:56 pm

Zaidi ya wachezaji chipukizi 50 walijumuishwa katika kambi ya mazoezi ya mpira wa vikapu iliyoandaliwa katika shule ya kimataifa ya Nairobi.Makocha wa humu nchini halikadhalika wa kigeni wamekiri kwamba Kenya ina talanta japo ni changa na ni lazima ipigwe msasa.