Timu ya kaunti ya Makueni ya wavulana yalaza timu ya kaunti ya Kwale mabao mawili kwa moja

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 8:52 pm

Timu ya kaunti ya Makueni ya wavulana iliilaza timu ya kaunti ya Kwale mabao mawili kwa moja kwenye mchuano uliochezwa ugani Unoa katika kaunti ya Makueni. Timu hizo zilikuwa zinashiriki katika makala ya nne ya michezo hiyo ya kaunti huku kaunti 22 pekee zikitarajiwa kushiriki