Seneta Kipchumba Murkomen ajipata mashakani; ashutumiwa kwa kutoheshimu familia ya Rais mstaafu Moi

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 8:49 pm

Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen amejipata mashakani baada ya wanachama wa KANU na mbunge wa Moiben Silas Tiren kumshtumu kwa madai kwamba aliivunjia heshima familia ya rais mstaafu Daniel Arap Moi. Sasa wamemtaka Murkomen kuomba msamaha kwa kuingiza familia ya Moi kwenye maswala yasiyokuwa na misingi