Wabunge kutoka Jubilee na NASA waanzisha shinikizo za kutaka makamishna kuondoka IEBC

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 7:33 pm

Wabunge kutoka mirengo ya Jubilee na NASA sasa wameanzisha shinikizo za kumtaka mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati kujiondoa pamoja na makamishna wawili waliobaki.Wabunge hao wanasema sasa itabidi bunge la kitaifa kuanzisha mchakato wa kupata makamishena wapya kutokana na majukumu yanayoikabili tume hiyo