Wanafunzi wafanya maandamano baada ya shule zaidi ya hamsini kufungwa kufutilia mzozo bondeni Kerio

KTN Leo | Wednesday 14 Feb 2018 7:56 pm

Zaidi ya shule 50 katika katika bonde la Kerio zimetakiwa kufungwa kutokana na utovu wa usalama unaoendelea katika maeneo hayo. Wanafunzi waliandamana kutafuta haki yao huku wadau husika wa usalama wakiendelea kulaza damu huku wakazi wakendelea kuuana. Elvis Kosgei alijapata katikati mwa bonde ambapo risasi ni kawaida kama ibada. Elvis Kosgey anatupa hoja