Gavana Alfred Mutua amamurisha Rais Uhuru Kenyatta kuhusishwa kwa serikali ya Jubilee

KTN Leo | Saturday 13 Jan 2018 7:42 pm

Kina mama wabunge wameeleza imani ya sheria kuhusu jinsia

        kutekelezwa pasi na kupitia kortini. Haya yamebainika

        kwenye mkutano wao naivasha. Na huku nairobi, viongozi wa

        maendeleo chap chap wamedai serikali ya jubilee inapaswa

        kurudisha mkono kwa kuteua wanachama wa chap chap

        katika nafasi za serikali kuu na za kaunti huku katibu mkuu

        wa vyama vya wafanyikazi nchini francis atwoli

         akimuonya rais uhuru kenyatta dhidi ya kuegemea watu

        kutoka jamii fulani katika uteuzi wake.