Shule kadhaa zafungwa maeneo ya Kerio kutokana na ukosefu wa usalama

KTN Leo | Saturday 13 Jan 2018 7:35 pm

Kamati za usalama eneo la marakwet  na pokot,

           zimepewa makataa ya siku saba ya kufanya msako wa

           kurejesha mifugo walioibwa na wavamizi juma lililopita.

           Wakazi waliotoroka makwao kwa hofu ya usalama wao

           wakiombwa kurejea makwao.elvis kosgei na maelezo zaidi

           kuhusu mkutano uliofanyika kuziba nyufa za vita vya mara

           kwa mara katika bonde la kerio