Waziri Amina Mohamed akagua uga wa Kip-Keino | KTN Leo Michezo
26, Jan 2021
Waziri wa michezo Amina Mohamed amewahimiza wajenzi wa uwanja wa Kipchoge Keino mjini Eldoret kukamilisha ujenzi huo haraka upesi. Uwanja huo ulikua unatarajiwa kukamilishwa mwaka lakini ukakwama. Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago pia amesema kwamba wajenzi watapata usaidizi ufaao kukamilisha uwanja huo.