×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa Afya Nakuru Kariuki Gichuki aeleza watu wangapi wamechanjwa katika kaunti hiyo

19th October, 2021

Huku wito ukiendelea kutolewa kwa Rais Uhuru Kenyatta kupunguza masharti ya kudhibiti korona, haswa katika kuondoa kafyu, idadi ya watu waliochanjwa ndio itakayochangia katika kulegeza sheria hizo. Mwanahabari wetu Ibrahim Karanja anazungumza na waziri wa afya katika kaunti ya Nakuru Kariuki Gichuki, ili kufahamu ni watu wangapi wamechanjwa katika kaunti hiyo. 

.
RELATED VIDEOS