×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ayub Savula akihama chama cha ANC na kujiunga rasmi na DAP-K

22nd January, 2022

Mbunge wa lugari ayub savula amehama rasmi chama cha ANC Na kujiunga na dap kenya na kupewa wadhifa wa naibu Kiongozi wa chama hicho. Savula awali alikuwa naibu kiongozi wa  ANC kabla ya kujiunga na azimio la umoja linaloongozwa na raila odinga. Ujio wa savuala katika DAP?Kenya unaongeza idadi ya wanasiasa waliongia katika chama hicho wenye ushawishi kwa kiasi fulani

 

 

.
RELATED VIDEOS