×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge wa Tetu Gichuhi Mwangi na baadhi ya viongozi wa Nyeri wajiunga rasmi na chama cha UDA

5th December, 2021

Naibu Rais William Ruto ameendeleza kampeni yake kwa siku ya pili mfululizo katika kaunti ya Nyeri kwa kuhudhuria ibaada ya jumapili makanisa ya eneo bunge la Tetu. Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka eneo hilo walitangaza rasmi kugura chama cha jubilee na kujiunga na chama chake cha UDA. Miongoni  mwa viongozi waliojiunga na UDA ni mbunge wa Tetu Gichuhi Mwangi na Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga aliyesema kwamba wakati umewadia wa  kufanya uamuzi kulingana na matakwa ya wapiga kura katika eneo hilo.

 

.
RELATED VIDEOS