x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kibicho Vs Sonko: Kibicho atishia kumshtaki Sonko kwa madai ya kumchafulia jina

25, Jan 2021

Katibu wa wizara ya usalama wa ndani Karanja kibicho ameandikisha taarifa ya malalamishi kwa idara ya upelelezi (DCI)  kufuatia madai dhidi yake yaliyotamkwa na aliyekuwa gavana wa nairobi mike mbuvi sonko.   Kibicho amesema kuwa atapeleka kesi kortini kumshtaki sonko kwa kumchafulia jina. Kibicho amewataka wanasiasa wa mrengo wa tanga tanga kukoma kumhusisha na siasa chafu wanazoendeleza huku akiahidi kuwa atarejelea kauli zao zote wakimtaja na kuwa atawachukulia hatua za kisheria.

Feedback