×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Je, mustakabal wa muungano wa kisiasa kati ya Naibu Rias William Ruto na Musalia Mudavadi ni upi?

24th January, 2022

Je mustakabal wa muungano wa kisiasa kati ya Naibu Rais William Ruto na kinara wa ANC Musalia Mudavadi ni upi? Ndilo swali linaloulizwa na wakenya pamoja na wadadisi wa maswala ya kisiasa baada ya wawili hao kutangaza mipango ya kushirikiana katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao.

Hii leo mwanahabari wetu Murimi Mwangi amefanya kikao na Mudavadi, na kuandaa taarifa ifuatayo kuhusu mikakati yake kisiasa baada ya kongamano la Bomas hapo jana.

.
RELATED VIDEOS