19th February, 2021
Mzee mwenye umri wa mika 52 amefungwa maisha kwa kujihusisha kingono na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 13 na kumpachika mimba. Kijana wa mzee huyo anasubiri kuhukumiwa pia kwa madai ya kuwa alikuwa anajihusiha kingono na binti huyo pamoja na babake.