18th June, 2021
Ibada ya wafu ya marehemu Chris Kirubi imefanyika hii leo ambapo viongozi na wakenya wa tabaka mbali mbali wamemiminia sifa kede kede Kirubi…kwenye hotuba mbali mbali wengi wameelezea jinsi mfanyibiashara huyo alivyohusika kwenye masuala mbali mbali ya maendeleo nchini na siasa vile vile kama anavyoarifu mwananahabari wetu Daniel Kariuki