7th May, 2021
Mkufunzi wa timu ya Kcb Fc Zedekiah Otieno amepuuzilia mbali madai kuwa tusker imeponyoka na taji la ligi kuu ya soka nchini. Ziko ana imani kuwa kcb itaendelea kupambana mpaka mechi ya mwisho kusaka taji hilo. Kcb watakutana dhidi ya tusker tarehe 15 mwezi mei.