7th May, 2021
Kwenye makala ya mirindimo juma hili, baadhi ya wabunge wamebadilisha rangi kama kinyonga kwenye kura ya bbi, huku mbunge William Chepkut akiingia kwa kishindo bungeni. Naye Rais wa Tanzania Suluhu Hassan atueleza ni wanyama pori gani hutoka Tanzania kuja kutiwa mimba Kenya.