×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nguvu za Kura: Kimunya na Junet wajigamba kuhusu kura za jana bungeni kupitisha mswada wa BBI

7th May, 2021

Uongozi wa Bunge la Taifa umetoa onyo kwa Naibu Rais William Ruto kwamba kutokana na kura ya jana ya kupitisha BBI bungeni, wana idadi tosha ya kuendesha mjadala wa kumwondoa madarakani. Viongozi hao wanasema hatua hiyo itachukuliwa iwapo hatakoma kudhalilisha uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta.

.
RELATED VIDEOS