×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kufunguliwa shule: Wanafunzi kusalia nyumbani kwa muda mrefu zaidi

5th June, 2020

Huenda wanafunzi wakaendelea kusalia nyumbani kwa muda mrefu zaidi, baada ya waziri wa elimu Profesa George Magoha kuonekana kuashiria shule hazitafunguliwa wakati idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona inaendelea kuongezeka. Waziri magoha alizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya kamati ya dharura ya kuratibu masuala ya elimu wakati huu wa janga la covid utakaowasilishwa rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta

.
RELATED VIDEOS