shughuli za usafiri zilitatizwa katika barabara kuu ya Kitale –Eldoret baada ya jamaa na marafiki wa marehemu Henry Mwangi Mungai kufunga barabara ili kupaza sauti yao kwenye mauaji tatanishi ya Mungai na mkewe waliouawa kinyama Jummanne wiki iliyopita. Gari la kubeba maiti lilifungiwa kwenye mshikeshike huku polisi wakilazimika kutumia vitoa machozi.

Wakazi wakabiliana na polisi wakiandamana kuhusu mauaji ya kutatanisha

shughuli za usafiri zilitatizwa katika barabara kuu ya Kitale –Eldoret baada ya jamaa na marafiki wa marehemu Henry Mwangi Mungai kufunga barabara ili kupaza sauti yao kwenye mauaji tatanishi ya Mungai na mkewe waliouawa kinyama Jummanne wiki iliyopita. Gari la kubeba maiti lilifungiwa kwenye mshikeshike huku polisi wakilazimika kutumia vitoa machozi.

Related videos
KTN Leo