Biashara zatatizika baada ya wahudumu wa bodaboda kuandamana wakilalamikia kuuawa kwa mmoja wao.

Biashara zatatizika baada ya wahudumu wa bodaboda kuandamana wakilalamikia kuuawa kwa mmoja wao.

Biashara zilitatizika katika mji wa Nyacheki katika kaunti ya Kisii wakati wenyeji  pamoja na wahudumu wa bodaboda walipoandamana wakilalamikia kuuawa  kwa mmoja wao inasemekana kuwa muhudumu huyo wa bodaboda alijaribu kukwepa kizuizi akiwa amebeba abiria wawili na mmoja wa wakusanya ushuru ambaye hakufurahishwa na mwenendo wa marehemu wa kukwepa kulipa shillingi kumi  aliitega  fimbo kwenye gurudumu la pikipiki na kusababisha pikipiki hiyo kugongana na nyingine kabla ya kubingiria

Other videos in same category
KTN Mbiu