×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Inflation escalates - swahili

Living

Tangazo la ongezeko la gharama ya nguvu za umeme ni ishara tosha kwamba wakenya hawapaswi kutarajia afueni yoyote kwa hali ngumu ya maisha wanayopitia. Kando na nguvu za umeme, wakenya leo waliamkia ongezeko la bei ya maziwa na mikate, maziwa ya kcc yakiuzwa kwa shilingi 33 juu kutoka shilingi 30 hapo jana, huku mkate ukiuzwa kwa shilingi 42. Na huku wengi wakisubiri kwa hamu sheria ya kudhibiti kwa bei ya bidhaa, idadi kuu ni ya wale wanaoikashifu sheria hiyo wakidai itachangia pakubwa katika kufanya hali kuwa mbaya zaidi ya ilivyo kwa hivi sasa. Esther kahumbi na taarifa hiyo kwa ukamilifu .

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles