× E-Paper @ 10/= Digital NewsVideosHealth & ScienceLifestyleOpinionEducationColumnistsMoi CabinetsArts & CultureFact CheckPodcastsE-PaperLifestyle & EntertainmentNairobianEntertainmentEve WomanTravelogTV StationsKTN HomeKTN NewsBTVKTN Farmers TVRadio StationsRadio MaishaSpice FMVybez RadioEnterpriseVASE-LearningDigger ClassifiedJobsGamesCrosswordsSudokuThe Standard GroupCorporateContact UsRate CardVacanciesDCXO.M PortalCorporate EmailRMS
×

Kenya yaandaa mbwembwe za tamaduni nchini Marekani

7 years ago Maonyesho ya smithsonian yameendelea huko Washington dc huku kenya ikiwatumbuiza wenyeji kwa mbwembwe za tamaduni za kenya.kuanzia jumatano wiki jana wenyeji na hata wakenya wanaoishi huko walifurahia vyakula vya kitamaduni kutoka jamii tofauti nchini. tumbuizo kutoka kwa wanamuziki wa kenya, na kuonyeshwa mbinu zinazotumiwa kuboresha uchumi wa jamii mbalimbali. Historia kuhusu asili ya binadamu nchini ilitajwa kama mojawapo ya mambo ya kuvutia watalii nchini kenya.

Related Articles

Create An Account
Support independent journalism
I have an account Log in
Reset Password
Support independent journalism