Watatu wamefariki kwenye ajali Jumanne katika barabara ya Mombasa-Nairobi.

Abiria watatu wamefariki dunia kwenye ajali katika Barabara ya Nairobi-Mombasa karibu na Soko la Simba.

Kulingana na Kamishna wa Makueni Mohammed Maalim, gari aina ya matatu lililokuwa likitoka upande wa Mombasa imegongana ana kwa ana na lori wakati gurudumu la gari hilo lilipopasuka na dereba kupoteza mwelekeo.
Abiria wengine waliokuwa kwenye gari hilo wamepata majeraha mabaya na wanatibiwa katika hospitali ya Makindu huku miili ya waliofariki ikisafirishwahadi Hifadhi ya Maiti ya Hospitali io hio.

Do not miss out on the latest news. Join the Standard Digital Telegram channel HERE.

Accidentmombasa-nairobi highway